Stivo Simple Boy – Glory Lyrics

Stivo Simple Boy

Stivo Simple Boy – Glory Lyrics

Glory Lyrics

Mighty Lord,

I give you glory,

Mkostii nipee beat,

Haaaa haaaaah.

Is your boy Stivo Simple Boy,

Ndio manake,

Chorus

Glory glory glory glory glory..glory

Glory glory glory glory glory..glory,

Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori

Napiga saluti pahali mi naenda, no worry

Glory glory glory glory glory..glory

Glory glory glory glory glory..glory,

Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori,

Napiga saluti mahali mi naenda no worry,

VERSES 1

Mighty Lord, I give you glory,

You know me better, tangu utotoni,

Mighty warrior, Jehovah Rafa,

Jehovah Nisi is your is your Name,

I kneel on my knees,

I call your name Father,

Holy Ghost fire, The devil is a liar,

Is trying to pull me down,

But you lift me higher,

That’s why I lift you higher,

Jehovah Adonai,Aki why lie,

Your word is true, you never lie,

Mambo yako poa, yaani iko sawa sawa,

Lord of universe, your things are marvelous,

No one can copycat,

Siku zote umelinda, mlima na mabonde,

Wewe unanijali, kwa kila hali,

Kwako napiga kambi,

Damu yako imenilinda mi,

I don’t worry, because you’re worthy..

Chorus

Glory glory glory glory glory..glory

Glory glory glory glory glory..glory,

Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori

Napiga saluti pahali mi naenda, no worry

Glory glory glory glory glory..glory

Glory glory glory glory glory..glory,

Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori,

VERSE 2

Wewe si kiatu, usikubali kuwekwa chini,

Fuata ndoto zako, manze kuwa na ujasiri,

Weka Mungu mbele mambo itakua fity,

Usiwe mkatili maringo ni ya nini,

Kwa uzembe sema NO NO,

Zidi kujituma more more,

Usiseme hauwezi, manze kamilsha iyo ndoto,

Mola ako na mpango, kukutumia ka mfano,

Wakikuona watakua wanaitisha maphoto,

Nalala kwa kitanda ndogo nadream big,

From zero to hero,

From nothing to something,

Nimeshika signal vile mi ukuwa busy,

Kwa studio natoa ngoma niwashike kama homa,

Nashukuru wale wrote wanao nisupporti,

Na kunisimamia ka wakili kwa korti,

Nguvu nimebeba siwai sitawaangusha,

Kutoka Kenya, Kampala hadi Kule Arusha,

Chorus

Glory glory glory glory glory..glory

Glory glory glory glory glory..glory,

Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori

Napiga saluti pahali mi naenda, no worry

Glory glory glory glory glory..glory

Glory glory glory glory glory..glory,

Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori,

Napiga saluti pahali mi naenda, no worry.

Author: muziki media