HOME – MUZIKI KENYA

Inspiring Entertainment Excellence

Sauti Sol – Rhumba Japani Lyrics

Track :Rhumba Japani Lyrics

Artist: Sauti Sol feat. Kaskazini, Bensoul, Nviiri, Xenia, Okello Max & Nairobi Horns


Kuna Rhumba ya Juja

Na ni ya maboy

Ukisaka mitumba

Enda Rhumba ya Toi

Kuna Rhumba ya Kibich

Utajua hujui

Kuna Rhumba for all you niggas ila

Rhumba Japani ndio Rhumba

Kuna Rhumba ya state house iko chini ya maji

Kuna Rhumba ya bunge

Ya majambazi

Ukileta ujinga

Utalala ndani

Kuna Rhumba for all you niggas lakini

Rhumba Japani ndio Rhumba

Hapa ni wapi, tume zungukwa na shisha na shashamani, mapochopocho na vinywaji mbali mbali, wengine wanatapika wakizirai

Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha kipaparazi, Tumezungukwa na warembo geti kali, tunazitoka na style za kizamani

Kuna Rhumba ya Westy

Ya mabeshte

Ya mashinani

Sheki your waistii

Rhumba ni nyepesi

Isikue kesi

Kuna Rhumba for all my niggas

Ila Rhumba Japani ndio rhumba

Kuna Rhumba Karura

Ya kupanda miti

Ukiwa Koinange

Hakunaga risiti

Rhumba Oyole

Hio no ya mangwai

All of my hoes and all of my niggas

Rhumba Japani ndio Rhumba

Hapa ni wapi, tumezungukwa na mabouncer kama chuani, Kuna mapedi mapoko pia mapinji, na wanaseti michele kwenye vinywaji

Hapa ni wapi, Kuna visanga vioja mahakamani, wapenzi wapigana mate hadharani, wengine wanatekana nyuma ya taxi

Niitie Rhumba obunga

Mano mar jothurwa

Tokidwa bilo mbuta

Iriyo manyatta

Yawuoi orwaka akala

To nyiwa ondiso avunja

Kuna Rhumba for all your niggas

Lakini Rhumba Japani ndio Rhumba

Aaaaaaah Sol Generation you know

Hii shit imeniweka zone, inatamba

Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje kwa foleni, na raia wako ndani wajivinjari, wanazitoka na style ni za kiodi

Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta utiaji, wakafungia wakubwa nje ya party, wakawachia ofisi wafanyikazi

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊