Nyashinski – G.O.A.T Lyrics

NYASHINSKI LYRICS

Track: G.O.A.T

Artist: Nyashinski

Album: Lucky You


N.Y.A.S.H.I.N.S.K.I, I STAY FLY

G.O.A.T THAT’S NO LIE

NABAKI T.O.P TILL I DIE


Mi siwadanganyi bana this time umati imesha decide

Wanati wana-legalise marijuana yeah

Ni funny naona design nilianzishanga mkirhyme

Ndio maana najidescribe ka fundi wa ma-career

Ni nini ka si define

Kutoka mahali tumetoka hadi kujifine

Kwa keja zina master mbili

Huyu mrasta ana akili

Na hamwezi zipima ata mkisimama na ratili over there


Really niko fine check thermometer

UG ishaamua since biz iko na pombe wana wine

Na si tuko busy tunagombezana online

Mapanganga saa hio nchi inachomeka na hatucare


Siasa ni za tribal line

Streets ni mimi na jaba na my idle mind

Industry ilikuwa flat kila vital sign

Tu-agree comeback yangu ilikuwa right on time, yeah


N.Y.A.S.H.I.N.S.K.I, I STAY FLY

G.O.A.T THAT’S NO LIE

NABAKI T.O.P TILL I DIE


Hits mingi ka the Mushrooms na P.UNIT pamoja

Wanasemanga mi ni ka kikundi mtu mmoja

Kando yangu iko na mtu ana kidungi kwa toja

Incase watry kupimana mvi na kocha

Ni mi nasosi kaongezeni chumvi na sosa

Mind iko sharp kama suti inatosha

Shughli napiga sio lazima mzione

Been here forever na bado ni ngumu mnisome


Sumu jikoni sa ishaiva

Umeona nimedumu mwisho umekuwa believer

Vichwa vigumu ndo hufika mahali nimefika

Kwama na worth yako waseme we ni diva


N.Y.A.S.H.I.N.S.K.I, I STAY FLY

G.O.A.T THAT’S NO LIE

NABAKI T.O.P TILL I DIE


Ka mbese na skusha my household name

I’m the best ever, loose never can’t complain

Already in the hall of fame and I’m still played

G.O.A.T shit am forever in my own lane


Drop the game back mi na Sauti hakuna argument

Made a space for you young niggas msiwai forget

Na hio date huezi lipa wengi huguess

Wanapata hit moja wengi humess

Wengi huisha, wengi hutafta shortcut wanabaki wameburn

Took time of this shit nikaistudy na nika-ilearn

Ka ninayo jua nilifanyia kazi na nikai-earn

Ka ni luck verse ya verse lack

Here as they come, chinchilla!

For more:

Author: muziki media