Nviiri the Storyteller ft. Femi One – Bar Lyrics

Nviiri the Storyteller

Nviiri the Storyteller ft. Femi One – Bar Lyrics

Bar

Baby twende kwa bar, bar

Bar

Twende kwa bar, bar

Chorus

Baby twende kwa ba… ba… baba yako

Nipeleke kwa ba… ba… baba yako

Sherehe kwa bar, bar

Vinywaji kwa bar, bar

Baby twende kwa ba… ba… baba yako

Baba yako

Aisha, unahatarisha maisha

Baba yako hunitisha, ndio maana mi hupita kwa dirisha

Yeah, yeah

Aisha, nimekufuata hadi kwa kanisa

Misa imeshika, ama ni zangu zimeshika

Usiogope kunionyesha vile unanipenda imani nimeweka kwako

Ungejua vile nimekupenda mami ehh, ohhh

Usiogope kunionyesha vile unanipenda

Imani nimeweka kwako

Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh

Baby twende kwa ba… ba… baba yako

Nipeleke kwa ba… ba… baba yako

Sherehe kwa bar, bar

Vinywaji kwa bar, bar

Baby twende kwa ba… ba… baba yako

Baba yako

Nikiwa mdogo ulikuwa unaningoja bu…

Pale kwa bustop

Miaka ikasonga na sa umejenga kabu…

Kabungalow kako

Harusi, kanisa, alafu reception ni ba…

Baada ya hapo

Ambia baba honeymoon tunaenda ba…

Bang bang bang bang Bangkok

Usiogope kunionyesha vile unanipenda

Imani nimeweka kwako

Ungejua vile nimekupenda mami ehh, ohhh

Usiogope kunionyesha vile unanipenda

Imani nimeweka kwako

Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh

Baby twende kwa ba… ba… baba yako

Nipeleke kwa ba… ba… baba yako

Sherehe kwa bar, bar

Vinywaji kwa bar, bar

Baby twende kwa ba… ba… baba yako

Baba yako

Author: muziki media