Rayvanny

Naogopa Lyrics – Rayvanny

Naogopa Lyrics – Rayvanny

Mmmh heey

Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa

Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa

Wapi mkandarasi wa moyo
Ukuta wa mapenzi unabomoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka

Wapi mkandarasi wa moyo
Ukuta wa mapenzi unabomoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka

Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka

Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka

Naogopa (naogopa)
Naogopa (naogopa)
Naogopa
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee

Naogopa (naogopa)
Naogopa (naogopa)
Naogopa
Tena tochi ya mapenzi isinimulike

Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana
Alivyonidanganya
Moyo wangu ukapiga danadana

Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana
Alivyonidanganya
Moyo wangu ukapiga danadana

Kwani nilizamapendo yakaniteka mapenzi
Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi
Unaweza sema pesa ndiyo breki
Ila mapenzi hayasomeki
Umemteka kwa mali na cheki
Kumbe vyombo anakula muuza magazeti

Unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji

Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka

Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka

Naogopa (naogopa)
Naogopa (naogopa)
Naogopa
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee

Naogopa (naogopa)
Naogopa (naogopa)
Naogopa
Tena tochi ya mapenzi isinimulike

Kuna watu walipendana na waliapishana hawatakuja kutenga
Ila bado wadanganyeni kilammoja anafanya nani apewe lawama
Wengine wamejuana jana mechi leo mchana na habari hawana
Hadi vita wanapigana wakiumizana nani apewe lawama

Naogopa eeh
Naogopa, Naogopa aah aah
Yeah

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊