Nadia Mukami – Yule Yule Lyrics

NADIA LYRICS

Nadia Mukami – Yule Yule Lyrics

No friend zone

Nadia

Hello beiby, oops

Ala nilikosea

Nilimaanisha hello Freddy

How are you beiby ooh

Ona hata nafsi inakuita

Nisiponjanjaruka nitapitwa

Unanipa pressure

Mchana kutwa, kila siku wee

Formula ya mapenzi nionyeshe

Nisije kosea unigombeze

Useme hunipendi unilize mie

Baby love, baby boo, baby love

Uniitapo sister yanikwaza

Eti shikilia uzito yaumiza

Badala yake busu kusambaza

Aki ya Mungu beby wee

Yule yule

Mimi naye siku moja tupendane

Yule yule

Anione pasi na urafiki

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Wamenibandika jina

Ati mpenzi mtazamaji wee

Na yule Diana

Mwenyewe ndo mpangaji

Akaleta beef ati namuibia

Si uwongo bwana nitamuibia

Akishindwa kazi nitamchungia

Formula ya mapenzi nionyeshe

Nisije kosea unigombeze

Useme hunipendi unilize mie

Baby love, baby boo, baby love

Uniitapo sister yanikwaza

Eti shikilia uzito yaumiza

Badala yake busu kusambaza

Aki tiga goma beiby wee

Yule yule

Mimi naye siku moja tupendane

Yule yule

Anione pasi na urafiki

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Nisije kula mizonga

Wale wakila unono

Ama nile kwa macho

Wale wakila kwa mwili

Mimi na yule cherie eeh

Awe wangu niwe wake yuleyule

Kiuno kando kwa kando na yeye

Yule yule

Mimi naye siku moja tupendane

Yule yule

Anione pasi na urafiki

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Yule yule

Mimi naye siku moja tupendane

Yule yule

Anione pasi na urafiki

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Yule yule

Mimi naye siku moja tupendane

Yule yule

Anione pasi na urafiki

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Yule yule, yule yule

Mimi na yule

Cherie wangu wee

Chini kwa chini naye

Juu kwa juu naye

Kando kwa kando naye

Kacherie kake

Kacherie kangu beiby wee

Nadia Mukami – Yule Yule Lyrics

Author: muziki media