NADIA LYRICS

Nadia Mukami – Maombi Lyrics

Nadia Mukami – Maombi Lyrics

[Intro]

Nadia….

(Hoyah hoyah hoyah)

(Hoyah hoyah hoyah)

[Verse 1]

Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha

Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba

Hao binadamu walinipa wiki

Sasa imepita miaka bado wanasubiri

[Bridge]

Kazi ya Mungu haina makosa

Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa

[Chorus]

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi

Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi

Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi

Hoya hoya,hoyaaah

Hoya hoya,hoyaaah

Hoya hoya,hoyaaah

[Verse 2]

[Verse 3]

Maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee

Ila Mungu hawezi kubali uangukee

Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha weeeh

[Bridge]

Kazi ya Mungu haina makosa

Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa

[Chorus]

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi

Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi

Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi

[Outro]

Si uchawii weeeh

Si uleviii eeeh

Si kwa nguvu zangu mieee

Si Ka Nadia katambeeeee

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊