Arrow Bwoy

Mungu Baba Lyrics – Arrow Bwoy

Mungu Baba Lyrics – Arrow Bwoy

Hey Mungu baba, kijana wako tena
Ni mimi huyu mbele zako
Nina mambo mengi ya kusema

Oooh Mungu baba, ni mtoto wako tena
Ni mimi huyu mbele zako
Nina mambo mengi ya kusema

Ila, naanza na shukurani(Shukurani)
Vile umenijenga na mambo fulani(Aha)
Baraka tele(tele)
Umenijazia sahani(Aah aah)

Thank you God for my family
Thank you for beautiful fans
I pray they will never see calamity
No no no eeh

Am so thankful
Thankful yeah yeah yeah
Am so grateful
Grateful oooh, oooh

Am so thankful
Thankful yeah yeah yeah
Am so grateful
Am so grateful yeah

Kila kitu naomba unanipa
Kisha nikutoke, aje?
Umenijenga kwa hali na mali
Kesho nijichoche, aje?

Aai nimeomba ukanipa
Kesha nikutoke, aje?
Umenijenga kwa afya na mali
Kesho nikutoke

Aje…nikutoke aje?
Nikutoke aje?

Mi si mtakatifu
Everyday am a sinner eeh
Kwa neema na fadhili zako 
Ukanipa uzima eeh

Kwa maovu ninayotenda
Still you made me a winner eeh
A winner, a winner winner

Aii nikumbushe nisisahau
Nikumbushe nisisahau(Yeah yeah yeah)
Acha nikupe shukurani
Mi nikupe shukurani eeh

Kila kitu naomba unanipa
Kisha nikutoke, aje?
Umenijenga kwa hali na mali
Kesho nijichoche, aje?

Aah nimeomba ukanipa
Kesho nikutoke, aje?
Umenijenga kwa afya na mali
Kesho nikutoke

Aje…nikutoke aje?
Nikutoke aje?

Kila kitu naomba unanipa
Kisha nikutoke, aje?
Umenijenga kwa hali na mali
Kesho nijichoche, aje?

Aii nimeomba ukanipa
Kesho nikutoke, aje?
Umenijenga kwa afya na mali
Kesho nikutoke

Aje…nikutoke aje?
Nikutoke aje?

Mungu Baba Lyrics – Arrow Bwoy

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊