Moji Short Babaa

Moji Shortbabaa ft. Desito – Fiti Sana Lyrics

Moji Shortbabaa ft. Desito – Fiti Sana Lyrics

Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na

Namsifu na kayamba ama rakatu
Niwe juu ya nduthi ama matatu
Yesu namba moja sio namba two
Nimesoma bibilia sio kanga tu
Eeh kwake sina noma sina wololo
Siko peke yangu siko sololo

Nipate kanisani si kwa ngololo
Na siingizi baridi siko wololo

Sitafuti tena,
Za shetani sitafuni nimetema

Nimezaliwa tena,
Mimi na Yesu hadi nilazwe pema

Ooh ooh yeah ye ye ye

Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye

Kwa Yesu ni kufiti sana
Sana na na na na Sana na na na na
Sana na na na na Sana na na na na

Yes I am,
amenishow Agape Agape eeh eeh

Yes I am,
hahesabu mara ngapi eeh eeh

Niko kwake,niko kwake sipigwi na ukame eeh eeh

Niko kwake,niko kwake watangoja ndo nihame eeh eeh

Nawapeleka na hii,
kwa Yesu namaintain kama flight

Nawapeleka na hii,
kwa Yesu namaintain kama flight

Nasitafuti tena,
za shetani sitafuni nimetema Nimezaliwa tena,

Nina Yesu hadi nilazwe pema
Ooh ooh yeah ye ye ye

Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana

Sana na na na na
Sana na na na na

Sana na na na na
Sana na na na na

Fiti sana fiti sana
Sana na na na na

Fiti sana fiti sana

Sana na na na na

Oya nikufiti,
Oya ni kufiti kufiti Sana na na na na

Oya nikufiti,
kufiti kufiti

Sana na na na na

Fiti sana,fiti sanaa

Sana na na na na

Fiti sana, fiti sanaa
Sana na na na na

Oya nikufiti, kufiti kufiti
Sana na na na na

Oya nikufiti, kufiti kufiti

Sana na na na na Sana na na na na
Sana na na na na Sana na na na na

Sana na na na na

Moji Shortbabaa ft. Desito – Fiti Sana Lyrics

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊