Moji Shortbabaa feat. David Wonder – Mtoto Lyrics

Moji

Moji Shortbabaa feat. David Wonder – Mtoto Lyrics

Mtoto mtoto mtoto
Mtoto mtoto mtoto
Mtoto mtoto mtoto
Mtoto mtoto mtoto

Nakuamini ka mtoto (Toto)
Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)
Nakufuata ka mtoto (Toto)

Nakuamini ka mtoto (Toto)
Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)
Nakufuata ka mtoto (Toto)

Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia

Mtoto ni baba yake
Mtoto ni baba yake na wangu najua
Mtoto ni baba yake
Mtoto ni baba yake na wangu najua

Bila we nina nini, nini?
Na nitakula nini, nini?
Bila we nina nini, nini?
Na nitakula nini, nini?

Mi naja kwako, we ndo baba, we ndo baba 
Nalia kwako, we ndo baba, we ndo baba 
Nakwama kwako, we ndo baba, we ndo baba 
Nalia kwako, we ndo baba, we ndo baba 

Ulisema watoto wakuje
Ah-ah na nimekuja baba
Ulisema watoto wakuje
Ah-ah na nimekuja baba

Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)
Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)

Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)
Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)

Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia

Nitakufuata ka mtoto wa primo
Ndani yako kuna blessings and I know
Umenipa uhai na bado
Vipi tena mi nitakuweka kando

Nitakufuata ka mtoto wa primo
Ndani yako kuna blessings and I know
Umenipa uhai na bado
Vipi tena mi nitakuweka kando

Ulisema watoto wakuje
Ah-ah na nimekuja baba
Ulisema watoto wakuje
Eeh eeh

Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)
Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)

Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)
Nakufuata ka mtoto (Toto)
Nakuamini ka mtoto (Toto)

Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia eeh

Aii nakufuata kwa imani
Nakufuata ka mtoto mtoto
Uniongoze njiani
Uniongoze njiani ka mtoto mtoto

Sitasahau we ni nani
Sitasahau we ni nani ka mtoto mtoto
Na unipe nuru gizani
Unipe nuru gizani ka mtoto mtoto

Author: muziki media