King Kaka Lyrics

King Kaka – Swahili Shakespeare Lyrics

King Kaka – Swahili Shakespeare Lyrics

Album: The Last King Of

Bad time ziukuja na believe ni bila warning

So najipanga for the weather, jua tua ya jioni

Wanashangaa vile niko ka mlevi anastagger but on a tight rope

Comments kwa wall mahali naperform wanadai mi ni mdope

Wakizidi kuongea chafu waambie waswallow soap

Streets is talking, unabelieve in corridors?

Leo so much love, kesho hawakufahamu, horrible

But I guess ni kama relationships

Mi upatana na X’s tukiwa na Y’s tukienda ma Z Z z

Nina apeal ya uPunk but ghetto kaa Moha na Linda

Hauamini Spider-Webs zikishikana zinaweza funga Simba

Nawaconfiscate hao bado wanajicomplicate, nakeep it simpler

Bado wananiita kwa ofisi, wananistudy hawa maDean/

Paper yangu inaMarkiwa kwa club Hassan akispin

PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!

Ati niukate ndio waAuction recordings zangu na Desk pia

Little things ufurahisha tiny minds, talk huwa haipiki rice, huyu boy niMnice!

Mic check 1 2, 1 2 Testing

Nilikosa kicks na snares, misfortunes ni Blessings

Ata wakinikazia nauzwa kwa streets kaa drugs Taboo

Fake friends bado wanaitikia, wale real wanaArgue

Nikiwa East ni letter ya tano, Westy ni ‘W’

PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!

Ata talks zinaendelea vile nafaa kuwekwa kando ya Monument ya Tom Mboya

Hapo hapo Mr. Price, tumeongea na prezzo aliniambia 2 more albums nikishazitoa

Yeah! Rabbit anarule animal kingdom si siri

Apart from Mistari, natema vitu fishy, Veni, Vidi Vicci

Ati Swag nikubakisha food ndio itupwe kwa taka

NKT! FALA! si tukipiane kiuBrotha, uzuri love ni virus inaweza wai msee yeyote

KAKA SUNGURA LAUNDRY tunableach, ukabila na ufala nitumie Jik au Topex

PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!

Ni poa kubuild bridges than niunde ukuta

No Dumping! taka taka bado utupwa

Uzuri God ako kwa team yangu, haujacheki scoring?

Ehh nilifunzwa kulala na one eye open

Pastor analay hands kwa kichwa yako Hopin’ utawacha robbin, usaidie city kaa Batman na Robin

Hiyo 3rd Sunday Zaituni akazaa, Asante Mungu

Grandma amelive tena Aggy, msichana wa nguvu

Kemp to Yunah Walucho, but you win some na upoteze pale

Mtoi wa Anto Uhunye, na Walach – Ray Mwangale

Moment of silence

PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!

Make sure mouth yako ni sharp kaa Dagger, na heart ni soft kaa Tofu/

Wape hizo ma ‘Thank you’ whatever they taught you/

Iwe kubwa kaa Atlas, au small tu!

Mafans wangu mimi huwakumbusha ‘ I LOVE YOU’

But who ceases to be a friend, we jua was never one/

Kila kitu ina urembo wake, si kila mtu ataiona

Kula Junk daily, haimaanishi utanona/

Maneno ikishatoka kinywani, hauwezi ifuata/

Ata na farasi faster, bila nare nawawasha/

Si telly wananaswa, aswa nawaBirth wakiwa Tasa!

PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊