King Kaka – Successful Lyrics

King Kaka Lyrics

King Kaka – Successful Lyrics

Mixtape: The King

Success ni nusu ya baadhi ya vitu kwa life natamani/

hiyo raha ni sawa nakubali shida ukuja na money/

apart from mandazi asubuhi nataka bacon za bei ghali/

hii kupanda mathree ni hectic, nieke ngata kwa gari/

niambie bye Mama Mboga na Hi! waiter wa Sarova/

mahali chai ndogo ni thao na inacompliment na mn’garo/

sahizo walami wanakugotea na sieti unawaomba doh/

wanajuauko in the same hotel na hao sababu ya vile unaflow/

kwa hivyo hii ulimi yangu naitunza sana kwanza pande ya wasichana/

ka haujui kukiss tafadhali usiniombe number/

juzi dem mwingine ameniuma ulimi sijui ka alitumwa na marapper/

lakini hii yote ni ndoto najua itakam true/

ata b4 hiyo nilikuwa na ingine na sahii niko ndani ya booth/

nataka kubehave ka star, hawa mapromoter sijui ka wanaelewa/

naenda all the way to coasto, na ni lodgo ndio wananipea/

hiyo ilikuwa 3 months ago hawajamaliza kunilipa do/

CHORUS

(I want the money, cars and the clothes and the…..

i suppose, i just wanna be successful) *2

VERSE 2

watu wa mtaa wanadhani nina doh kwa vile video yangu inaplay/

wangalijua tu nimetoka Westy na MCSK hawajanipay

nawashow sina any (Huyo msee sikuhizi anajiona)

lakini muulize kama anajua Rabbit (Rabbit ni msee wa mtaa mnoma!)

sahizo nina mafans wengi, na wengi ni wa Nguvu/

kaa si album watabuy, watanishow vile mi ni wa nguvu/

pia maisha imekuwa ghali, model anataka Toyo/

namshow mostly mi udrive kwa keja, specfically ndani ya choo/

mabeste wangu ni waselfish, wanadai kunipeleka rave/

juu wanajua watapata dem ananilyk na watampeleka bed/

na Chris na Cardy wanajua poa miskuangi nakunywa/

lakini daily ni maspecimen vile watawakuta/

pia najua hii thrown ya King siwezi kaa milele/

so nainvest kila mahali iwe Paultry au mchele/

vibanda za kupika, mitumba spice na ngede/

nimepay dues sana, coz i want the…

(Chorus)

VERSE 3

Hiyo mwaka nilidecide fully kuweka mind yangu kwa Rap/

sahii vitu niliandika kwa Bedromm zinachezwa kwa Club

nama fans wanakaribia daily utadhani ulimi yangu ina Spark/

Davie aliota akanitext, ati nilikuwa U.S. Tour

naomba God anibless, hivyo ndio iweze kuwa/

bado nalisha imani yangu, najua uwoga yangu itakufa

bado najifunza lugha niliambiwa Neglect nikupuuza/

wataitumia against you in the future, watabonga mafi na mucus/

na chura inacheki ka ng’ombe itakunywa maji mtoni/

Club! nabounce ka Mandugu au cheque za wagondi

Clap! ka una undugu na nimeinua kitrophy/

lakini hizi award show haziniiti sijui nibadili jina/

sijui niwache mashairi, niimbe Club na Ujinga/

kama kiboko iko mbali huyo mtoto mchune

tulilelewa zile wakati za kina Mgongo Mture/

Success ka unaniskia nimeinua mkono nivute!

Author: muziki media