King Kaka & Pascal Tokodi – Nakulove Lyrics

King Kaka Lyrics

Nakulove Lyrics

Apart from church na doh kuna vile umenifeel

Na plus if so hii love isidiminish

Una maringo tu panapofaa I like that

Wasilete ufala tunapokaa I’ll fight that

We ni empress wa me wa power (Ooh)

Huyu rasta ako na nia uwe sawa (Eeeh)

Tell your papa mama I mean no hamna (Ooh)

Tell your mama bana niko na plan

Ni vile sahii benkiko haina machwaa

Na hii kapa inafee nakuwa sure

Na doo ya Prado na (Ooh)

Kwa hao na (Eeh), lahaula (Ooh)

Tell budako ma

Tell budako, nakulove

Tell budako mami nakulove

Tell budako mami nakulove

Tell budako, nakulove

Nakulove, nakulove

Mami nakulove

Nakulove

 Na since I have you siko scared of nothing

My love my pillar, my black queen

Na hio urembo yote I mean of course

If I was your father hata mimi ninge-oppose

For your love I’ll fight utadhani tuko wreso

Nitakulinda ka Nyangweso, never doubt

Si kwangu we ni mspecial

Thinking the right places you got my attention

African skin sema ulaini

ll make a song about her

Support me baini

Na doo ya Prado na (Ooh)

Kwa hao na (Eeh), lahaula (Ooh)

Tell budako ma

Tell budako, nakulove

Tell budako mami nakulove

Tell budako mami nakulove

Tell budako, nakulove

Nakulove, nakulove

Mami nakulove

Nakulove

Tell budako sina noma

Tell budako sina noma

Tell budako sina noma

Tell budako sina noma

 Nakulove, nakulove

Mami nakulove

Nakulove

Nakulove, nakulove

Mami nakulove

Nakulove

Tell budako sina noma

Tell budako sina noma

Tell budako sina noma

Tell budako sina noma

King Kaka & Pascal Tokodi – Nakulove Lyrics

Author: muziki media