King Kaka Lyrics

King Kaka feat. Sudi Boy Nakuchukia Lyrics

King Kaka feat. Sudi Boy Nakuchukia Lyrics

Mixtape: Kaka Sungura na Wenzake

(u la la la la la)

Rabbit, Kaka Sungura, Sudi Boy, Sappy. 

hii ni ingine mzeiya!

Chorus

ulichotaka nilikupa, ukaniona bwege

sina maana, leo unataka nini tena?

u wo wo wo wo wo wo

ungejua navyo

kuchukia*4 kuchukia sana

ungejua navyo

kuchukia*4 kuchukia sana

Verse 1

tulikuwa na chemistry Baby ile videadly

but after Bio ukawa physics sikuelewi

hii ndio inaitwa love story, something out of a movie

kama ni ring za Ruby, nilibuy zile za bluish

kama ni plaka ya ujuzi, ilikuwa perfect nilioverdo it/

mabeste wake walishika nare, wengine ata waliloose it/

juu sijawai mslap kaa Lucy, love yangu ilikuwa ya mchuzi/

hakuna Mbrrrrrrrcha ka Mbusi, until hivi majuzi/

nilipoanza tour kanda, ‘Orutu Ya Masudi’

nilitaka awe na life poa, after four months Caldina

to Four bedroom mahali ataweka shoes na dress za dinner

akaanaza kuAct funny kama  episode ya Churchill

anakaa tu Ndeeee! na pia aliquit kazi/

analeta tu Streess kila saa ni mahitaji/

nikapata text inasema ‘i love you uko beautiful’/

na yake inasema – ‘i love you too’

(Chorus)

Verse 2

ambia mothako awache kunipigia, akina Patricia pia/

si uwaambie kile ulifanya, ama bado haujawaambia/

naregret kukupenda na ujue uliwaste time yangu/

sidhani ka una roho na kama uko nayo ni chafu/

ile frame ulibuy Maasai Market, niliivunja nikaichoma/

ile dinner dress, viatu, vitu ulitreasure vinoma/

anajitetea niliwacha kumpenda nikapenda doh/

sikutaka akuwe begger, tuliidiscuss before/

na ye akadecide kunicheza, kaa Samuel E too

nilidhani unaClass urembo ukuja na standards/

kumbe yeye si smart, preety cheap kama pamba/

umenifika Hapa!Wapi? hapa!

vuta hizo crocodile tears, si ulijifanya Mamba/

umenifika Hapa!Wapi? hapa!

ntakupa hizo vitu za nyumba, lakini moja itakuwa ngumu

gari enda nayo lakini roho yangu ntampa Mungu!

(Chorus)

umenifika Hapa!Wapi? hapa! *4

(Chorus)

error:
Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊
%d bloggers like this: