King Kaka feat. Xenia Manaseh – Dear Stranger Lyrics

King Kaka Lyrics

King Kaka feat. Xenia Manaseh – Dear Stranger Lyrics

Album: Eastlando Royalty

[Chorus: Xenia Manaseh]

You should know that I would be

Right here for you, for you

Now that I’ll be there to watch

Your dreams come true, come true

[Verse 1: King Kaka]

Dear stranger ndio nimeingia kwa booth

Hii mdomo hai-shake so nitabonga the truth

The wall iko na new photos sijui ka mmenotice

Lazima waenjoy vita ndo waenjoy for peace

Dream is born na womb ni ya Rabbit

Lupita kuongelea hardwork kwa speech ya dreams are valid

That chapter is done sitadeny ki u-Petro

Zile favours nimewaletea sijawai itisha ata kredo

And I never ask anything in return both

All I wish for ni tuwe na blueprint ya growth

Tulifurahi aje Mavoko alichukuliwa na Wasafi

So talented siamini walikutema Wasafi

You called me time mlikosana na Wasafi

Talk to Dia hope mliachana roho safi

Avril farewell naona mtoi amekuwa anabonga

I wish you nothing but the best vile miaka inasonga

[Chorus: Xenia Manaseh]

You should know that I would be

Right here for you, for you

Now that I’ll be there to watch

Your dreams come true, come true

[Verse 2: King Kaka]

We are created to disagree, no need lawyer deal na case Timmy congrats on your headphone deal na pace

Plans tulikuwa nazo hope utafollow mdogo

Si ukumbushe watu vile nilidesign hio logo

Vile nilishare watu walisema thats stupid

Nilikuwa nimebeba talents nimebeba arrows ka cupid Congrats on your album hatua karibu ligi

Hizo hatua umechukua si ni biggy biggy

Just the other day nilicall Jalas tupush digi digi

Na ni welcome kwangu mplay na Irosh na Jeezy

Family bado ndio order of the day

Never had bad intentions ka song ya Dre

Na vile floor ilicrack na sina simiti iniume niaje

Move to other things ilibidi niwaache

Hii glass either jua ni half

Phi congrats on the baby you are about to have Nilishaipea compass naomba uende mbali

Juzi tu ndo tulishoot video ya ruka na Khali

[Chorus: Xenia Manaseh]

You should know that I would be

Right here for you, for you

Now that I’ll be there to watch

Your dreams come true, come true

[Verse 3: King Kaka]

Zile migraine ninazo mara moja haiwezi ficha

Doc anasema ni vile nimebeba crown kwa kichwa

Pascal after Selina lazima album yetu

Actor mnoma wakuone ka singer na pray tu

Let it run in your genes na isifail tu

Vile niko na midomo mingi kwa masikio waambie wabrush Waambie vile uko kwa adioremy na account iko na cash Promise ziko kwa contract na pia kwa midomo Ata uhame leo sitawai wacha kushika mkono

Messages mnatuma saa zingine na blueticks

Sunday mi huzirhyme isha na blue jeans

Oya nani and your father got sick I made sure uko na doh ya hosi

Wacha vile sai uko kwa circles saying hazitoshi Nasukuma sukuma vako ya Matonya

Yaani sai mtoi anasahau matiti alinyonya

My view haitaja ichange niliona kitu special

By the hand that feed you na kuna lunch kesho

No bad blood tuingie studio tukachora maline

Dear friend nimekumiss nicall sometime

You should know that I would be

Right here for you, for you

Now that I’ll be there to watch Your dreams come true, come true

You should know that I would be

Right here for you, for you

Now that I’ll be there to watch

Your dreams come true, come true

Author: muziki media