King Kaka Lyrics

King Kaka feat. Kanana – Kafiri Lyrics

King Kaka feat. Kanana – Kafiri Lyrics

Verse 1 (Rabbit):

Okay, Yeah,

Hauwezi Convince Monkey Asali Ni Tamu Kushinda Ndizi,

Of Late Sijabonga Na We, Kujiwekea Kuwa Busy,

Kuna Events Kwa Life Yangu, Only We Uli Attend,

Bila Kukupea Shoutout Ntakua Na Pretend,

Na Mimi Sai Niko Na Wifey Ana Expect,

Sai Niko Na 3 Albums Na 6 Mixtapes,

1 John 4:7 Haujani Forsaken,

Mi Ni Flammable, Kaa Petrol Station,

Tulikua Na Ekko Class Moja, Ye Hunishow Ni Crossover,

Sadiq Alikuwa Form 3 Namuona Crossover,

Saa Zingine Sielewi Teachings Zako, Nakusahau Sana,

Mzee Amekaa Huona Mbali Kushinda Kijana Amesimama,

Wale Uliachia Hao Yako, Siku Hizi Wanakaa Funny,

Wanaongelea Kupanda Mbegu Sijui Wameanza Farming,

Hizi Zote Ni Excuse, Na Kimbilia Utajiri,

Ningependa Uwe Na Mi Hata Nikiitwa Kafiri…

Chorus (Kanana):

I’ve Tried So Hard, Tryna Run Things My Way,

But you’ve Been Kind To Me, Always Lighting Up My Way,

 I Realize That Lord, That Lord That All I Need To Say Is

Thanks Thanks Thanks Thanks Thank You Thank You.

Verse 2 (Rabbit):

We Ndio Ulinipea Vision Nianzishe Kaka Empire,

Wengine Imenijua, Wengi Wao Wamenitenda,

As Much As Me Huwa Na Misemo,

Nafaa Pia Vitendo,

Bad Luck Ikikufuata Hata Waru Itakuvunja Meno,

Wa Simame Pale, Sababu Ni Point Of No Return,

Even My Closest Walinihepa Nili Feel Kaa Island,

But Na Wewe Mola On My Feet Nitaland,

Fake Friends Na Kivuli, Huwa Na Tabia Moja,

Wao Hutokea Sa Ile Jua Yangu Imechomoka,

Hata Kaa Niko Partly Tu Blame, Au Niwe Fully,

Ulini Call Tuweke Mambo Safi, Hiyo Juzi,

Nilikosa, Ukakosa But Hakuna Haja Ya Fight,

Si Unajua Two Wrongs, Dont Make A Right,

Once Family, Sai, Si Ni Orphans,

But Popote Mtaenda, Na Wish Life Poa,

Mola Baki Na Mimi, Hata Nikiitwa Kafiri,

CHORUS (Kanana):
Verse 3 (Rabbit):

Mamangu Amekua Mgonjwa, Sai Ni Two Years,

Naskia Men Hawafai Kulia, Mi Hu Shed Tears,

Nearly Every Night, Make Things Right,

Lakini Sitachoka, Kaa Hiyo Tunnel Ina Light,

Nina Number Za Madaktari Wakipanga Mistari,

Utadhani Ni Ya Musikari, Kombo, Kura,

Na Ile Doe Tu, Tu, Wamekula,

Inatosha Kubuy Farm Ya Ile Ndondo Mi Hukula,

Lakini Pesa Maua, Uchungu Inaniua,

Ye Huniambia Na Loose Smile, Ye Ndio My Hero,

Ana Loose Time Pia, Ameloose Kilos,

Good Ya Hii World, Naskia Itakuwa Rewarded,

Mungu, Tafadhali Mponye,

Staki Nirudi Church, Sababu Nataka Favors,

Body Yangu,Temple Yako, Neno Ntaibeba,

Mola Baki Na Mimi, Hata Wakiniita Kafiri,

CHORUS (Kanana):

error:
Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊