King Kaka Lyrics

King Kaka feat. Arrow Bwoy – Beba Ndogo Lyrics

King Kaka feat. Arrow Bwoy – Beba Ndogo Lyrics

Album: Eastlando Royalty

Ndani ya roho yake anaumwa

Uli mwahidi utatunza penzi lake

Akaku fungulia roho too much…too much…too much

Na si amekua nawe ameji tuma

Time ya msoto na ndoto

Wakati wa mboga

Uki afford to skuma…skuma…skuma

Aaah kwa machozi anaogelea

Zile unamcheza kama soccer

Watoto ameku lelea

Sasa unaona kum penda sio hoja

Ile sacrifice amedu…

Amedu that for true

Na ni ukweli amedu that for you (Do that for you)

Buda sio you

Na kitu unadu aaah Buda sio true

[Chorus]

Aaaahhha…

Unambeba ndogo

Walai unam beba ndogo (Aaaahhha)

Unambeba ndogo

Ndogo… ndogo

Unambeba ndogo

Walai unam beba ndogo

Unambeba ndogo

Ndogo…ndogo

Na kila morning utakula ka smily

Queen beside me

Royal ka Riley

Ataka ni time me aah

Vita behind me

Blessed jua ushani zalia ka boyie

Ka ni tears… ni tears of joy

You’re VIP yani wa dhamana

Na ndio maana nakupenda kwa sana

Kwako Nita kaa sana yani nitakazana

No doubt jua you’re above them

Na sitaku seti uko ka back bench

Sija wahi changanyikiwa na ma gal dem

Mbona wamchokozange

[Chorus]

Aaaah

Unambeba ndogo

Walai unam beba ndogo (Aaaahhha)

Unambeba ndogo

Ndogo… ndogo

Unambeba ndogo

Walai unam beba ndogo

Unambeba ndogo

Ndogo…ndogo

You better take her out and buy some wine

All she deserves is the sky

On the floor make her whine

Yeh…yeh you better knowIle sacrifice amedu…

Amedu that for true

Na ni ukweli amedu that for you

(Do that for you)

Buda sio you

Na kitu unadu aaah Buda sio true

[Chorus]

Aaahhh

Unambeba ndogo

Walai unam beba ndogo

Unambeba ndogo

Ndogo… ndogo

Unambeba ndogo

Walai unam beba ndogo

Unambeba ndogo

Ndogo…ndogo

Hahaha….usi bebane ndogo manze

If you find somebody you love and they love you back

(It’s King Kaka and arrow bwoy haha…)

Love them manze…..wuuuui

Love is a beautiful thing haha…nasi unajua

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊