King Kaka Lyrics

King Kaka – Bangaiza Lyrics

King Kaka – Bangaiza Lyrics

Album: Orutu Ya Masudi

Intro:

Ajab aha yaeh Kaka Sungura (Bangaiza, Bangaiza!)

G-ganji, Sniper, Dice…..

Chorus.

Nimehustle tangu ngware hadi, jioni ikafika/

kuna wale wamenibamba wengine wamenikasirisha/

sahii ni time ya kubanga wee ee Bangaiza

banga wee ee Bangaiza

nimetembea tangu ngware hadi, kiatu ikaisha/

akili nayo imechoka juu, hesabu nimepiga/

sahii ni time ya kubanga wee ee Bangaiza/

banga wee ee Bangaiza

Verse 1

hii kusaka pesa daily naskia nikaa nimechoka/

lakini siwezi wacha juu pesa nayo haiwezi tosha/

nataka kutoka hiyo maisha ya daily, ugali na mboga(leo na Toast!)

kwa madem wote wanajitegemea/

wang’ara ka ni hepi wanajiekea drink kwa meza (leo na Toast!)

kwa machali wote wanajua vile kunaenda/

kama ndoa haikua inashika basi divorce na shida/

siunajua siri ni bidii halafu ni kubangaiza/

Chorus

Verse 2

kaa wewe ubangaiza kwa bar, wengine mamovie kwa keja/

wengine kwa mpango wa kando, sahizo simu ni mteja/

haitaumiza ukismile, hakuna uchungu kwa furaha,

waiter leta jaza meza ukimaliza pia we kaa hapa/

ulimaliza job saa kumi na bado mdosi anakusumbua/

haujaona vile wee ni mzuri na bado chali yako anakusumbua/

sahii huyu ni nani amemwagiwa pombe?

anakaa nikama amebatizwa

leo ni bash yake? silewi sivuti labda kubangaiza!

Chorus

Bridge

siku hizi*3 nabangaiza tena sana

siku hizi*3 nina bidii sana sana

siku hizi*3 nabangaiza tena sana

siku hizi*3 nina bidii sana sana

Chorus

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊