Gilad – Mawingu Lyrics

Gilad Mawingu – Lyrics

Gilad – Mawingu Lyrics


Chakula kiko tayari

kwenye meza

you’re not here

nilijaribu kukubembeleza

where did you disappear

baby come home

baby come home

come home

Natamani kusikia ukibisha

but you’re not anywhere near

nilisubiri kukukaribisha

where have you disappeared

baby come home

baby come home

come home

baby come home

come home

come home

Machozi yananishinda

and I can’t stop the rain

you know tumetoka mbali

now all I feel is pain

Kabla giza kuingia

baby come home

come home

kabla mvua kuanza

baby come home

come home

Mawingu keshaungana

subira inanikana

mawingu keshaungana

subira inanikana

natamani kusikia ukibisha

but you not here

baby come home

baby come home

come home

nilisubira kukukaribisha

where did you disappear

Machozi yananishinda

and I can’t stop the rain

you know tumetoka mbali

now all I feel is pain

Kabla giza kuingia

baby come home

come home

kabla mvua kuanza

baby come home

come home

kabla jua kutua

baby come home

Author: muziki media