HOME – MUZIKI KENYA

Inspiring Entertainment Excellence

Femione feat. Mejja – Utawezana Lyrics

Femione feat. Mejja – Utawezana Lyrics

Femi, ndo ule Mejja, ndo ule Mejja
Si ulikuwa unadai kuchapiana naye
Ishia ishia ishia (Ricco Beatz, Mr 808)

Okonkwo pole nimekuja ghafla (Usijali)
Ni vile we hukuwa umenibamba
Aah Femi One pia kwangu we ni msoo
Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya ‘Ligi Soo’ eeh Nakupenda manze we hukuwa mhumble (Asante)
Legend, kwangu we ni icon
Aah stori za icon kwanza weka mbali
Femi One mi hukuwa nimekutamani Eeh, Okonkwo umeanza kunichocha (Ah zii)

Nishow ni wapi uliniona
Aah Femi One (Eeh) we unibamba
Kwa Instagram nikicheki izo mapaja Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumblaLyrics Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbla

Iko haga yako iko
Naipenda ka mke nyumbani na mwiko
Mejja umeanza kuniflirt, aaah
Unataka kunikula kama plata Hiyo kifua nataka kuichambua
Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua ah
Kidesign umeanza kunibamba
Nikikupea usiende kutangaza Ah, hiyo ni siri (Wazi) ka pin number
Sitaambia mtu sitaambia hata King Kaka
Haina noma leo utanikula
Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja (Aaah) Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbla Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbla Napenda machali wako na swagger (Okay)
Nikicheki fashion yako hapana
Femi One hao machali looku looku
Ni looku tu lakini hawana kakitu Ah! Nataka kurombosa hadi chini
Ah! Nataka kuikota huko chini
Ah! Napenda kupakua nikiwa juu
Ah! Siteti, napenda hiyo view Fungua bonnet (Okay) toa screw (Aha)
Mbona unanidai na usiniambie uongo
Ah! Nakudai juu umetoka ghetto
Na we ni manzi hardcore manzi mathongo Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbla (Ah! Femi Uno, mtoto wa Khadija)

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊