Bensoul Lyrics

Bensoul – Peddi Lyrics

Bensoul – Peddi Lyrics

Nakuona kwenye lockdown yeah

Ningependa kuwa around bebe

Tungekuwa tumewasha

Ningekuwa nikimush up.

Kwenye picha weka hashtag

There’s nothing better kama good love and laughter yeah! Sema kile unatafta

& I will give you more and more and more

Ka si bahati basi

Niambie ni wapi

Utapatana na manzi

Hayuko kila pahali yeah

Hana chali

Hapendangi makali

Hapendangi maganji

Atakupenda kila hali

Haka kamali si kalocal ni kashashamane

Hako kafigure ni kale ni kanamba nane

Takuwa noma mi na wewe tukijabulani

Jabulani

CHORUS

Kama unatafuta peddi

Peddi wa mapenzi

Hii yangu ni heavy

I hope uko ready

nikuwe your peddi

Si nikuwe your peddi

( Apenji ×2

Si nikuwe your Peddi )×4

Mimi na wewe ni pare

Toka 7 hadi ngware

Karibia niigware

Na usiseme ni sare

We ni Jay mi ni nare

You’re the one I wanna marry

Tusiende in a hurry ,

& will give you more and more and more

Juu underwater

Nimekuwa nikikuota

Nataka kuwa locked na somebody’s daughter

Tukifika nyumbani hatutawahi toka

Tunaishi kileleni kama niko kwenye chopper

Haka kamali si kalocal ni kashashamane

Hako kafigure ni kale ni kanamba nane

Ningependa tu kuona tukijabulani

Jabulani

Kama unatafuta peddi

Peddi wa mapenzi

Hii yangu ni heavy

I hope uko ready

nikuwe your peddi

Si nikuwe your peddi

( Apenji ×2

Si nikuwe your Peddi )×4

Check out the video here:

Open WhatsApp Chat.
1
Say Hi 👋
Hello😊