Bahati – Mwisho Wa Dunia Lyrics
Bahati – Mwisho Wa Dunia Lyrics
My Fellow Kenyans
This Virus is in nearly
All Countries and Territories on the globe
We must prepare for the worst
EMB Records
Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, aah aah
Dear God
Ni mtoto wako Bahati
Ningependa Tuongee
Tubonge
Verse One
One, nina mambo eeh Mungu
Ningependa kukuambia
Naomba ruksa na muda tu
Two, sijui huwa unaniskia
Ama dhambi zabania
Usiende mbali juu
Tunaikosa riziki baba
Tunaumia tunalia Corona Corona
Yule masikini mama asiye na njia
Au watoto wa mitaani omba omba
Chorus
Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia
Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia
Verse Two
Hakuna show
Hakuna hata doo
Kuna haja gani nijenge hizi flow
When the fans wako locked nyumbani
Mwananchi mfuko iko low
Anarisk curfew asake hata soo
Serikali tuelewe jamani
Waghetto wangu ona tuko taabani
Street Kids wakumbukwe na nani
Tuokoe na hili janga jamani
Corona Corona aah
Chorus
Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia
Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia
Verse Three
Ndio tu nimemarry
Nawasha gari ya maisha nianze safari
Suddenly the End inakam
Aje
Mungu nianze na samahani
Popote tumekosa naomba tuwie radhi
Juu ni siku za mwisho
Tuwe ready ukikam baba
Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia
Machozi yangu ona
Kilio changu ona
Ombi yangu ona
Mi mtoto wako mbona
Naomba isiwe mwisho