Avril – Nikimuona Lyrics

AVRIL LYRICS
Track: Nikimuona
Artist: Avril

Intro:

Nikimuona Eeh,

Oooh Nikimuona eeh,

Nikimuona Eh,

Ooh, Nikimuona Ona Ona, Eh,

Verse 1:

Tumejuana Muda Mfupi Na Yeye,

Wiki Moja Au Mbili Sijui,

Nilipomuona Nilijua Ni Yeye,

Sababu Mi Na Feel Tumejuana Milele,

Shida Moja,

Ni Kuwa,

Nikijipa Kwa Urahisi, Sitapata Heshima,

If I Act Like A Queen, He’ll Treat Me Just Like A Queen,

But If I Act So Cheap, Then He’ll Treat Me So Cheap,

Chorus:

Nikimuona Eh, Waweza Dhani Mimi Ni Fala,

Nikimuona Eh, I Swear My Heart Skips A Beat,

Nikimuona Eh, Waweza Dhani Mimi Ni Fala,

Nikimuona, Ona, Ona, Eh,

Verse 2:

Stranger You Might Say Aha, Indeed It Seems,

Nilivyofunzwa Na Mamangu Ni Hivi,

Heshima Zangu, Hisia Zangu Ziwe Daima Akilini,

Lakini Bado, Nataka Kuwa Naye Ukweli Sifichi,

Shida Moja, Ni Kuwa,

Nikijipa Kwa Urahisi, Sitapata Heshima

If I Act Like A Queen, He’ll Treat Me Just Like A Queen,

But If I Act So Cheap, Then He’ll Treat Me So Cheap,

(CHORUS):

Bridge:

Unihurumie Hurumie, My Baby Oh, My Baby Oh,

Naomba Usinitese, My Baby Oh, My Baby Oh,

Unipeleke Kwa Mama, Atatupatia Mali,

Tufunge Oh Ndoa Ya Lote(x2)

Oh Nikimuona Heh, Waweza Dhani Mi Ni Fala,

Nikimuona, Ona, Ona, Eh,

Outro:

I Miss You My Baby (Kukuona Tu)

I Need To See You Daily(Kila Siku Ya Maisha Yetu)

I Miss You My Baby(Nanikuandalie Yote Oh)

I Need To See You Daily (Coz You’re My Baby, My Baby, My Baby,)

I Miss You My Baby (Ninakupenda, My Baby,)

I Need To See You Daily,

Author: muziki media