
King Kaka feat. Chess Nthusi – Haiwessmake Lyrics
Album: Orutu ya Masudi
Chess, Sappy
haaaa
Hii ni ingine mzeiyaaaaa
Chorus
Kila Dem na Halla (haiwess make)
Hallooooooooooo (haiwess make)
Hallo Hallo (haiwess make)
ati yessssssss (haiwess make)
kila Boy anaHalla (haiwess make)
Hallooooooooooo (haiwess make)
Hallo Hallo (haiwess make)
ati yessssssss (haiwess make)
Verse 1
nimekaa kaa home mpango ni Zero
keja safi bed, safi, throw in pillow
Hallo Daisy, ulisema aje kadate
(Call baadaye niko busy sahii haiwess make)
napigia dem wangu wa Emba, yunipenda
sasa Esther but hapendangi maPretenders
siukam home hivi tucheki ma movie 3d
(ata naelekea church sahii, haiwess make)
nina dem babbi anatuganji na gari
kukuja kwangu yeye uona si safari
Hallo mammi uko pande gani ya wapi?
(am pelekain’ my bro to school, sahii haiwess make)
Ok yule aliniambia nipige baadaye
mammi ile baadaye uliniambia sinisahii, hallooo
chali yangu anabuy tiko za movie,
ata ndio huyu anarudi, sahii haiwess make)
Verse 2
ntasahau aje Anne yeye lazima ata kam
huyo mimi phonebook number kuivuta
(hallo Rabbit, si utoe mpango…)
nilikuwa nadai……credit imeisha mmmmmmm (haiwess make)
mimi huyo huyo mbio hadi shops
Matata Bamba Soo lakini sina notes pia nimemzoea/
(wewe ni mgumu kulipa deni)
so ananipa ten bop (Soo haiwess make)
so nampigia Anne (Sorry The Number youve dial is temporarily out of service)
swara achana wacha nipigie Shiro
utakam (Naumwa umwa nadhani nima shiro
so kukam Eastlando leo, ai haiwess make)
ni almost 12 usiku sijapata 1
labda ni mimi ndio siwess make
Chorus
Chess Bridge
kila siku kila mara kuna boy anahalla
kila time hallo hallo hallooo
halloooooo shida tu ni moja haiwess make
Verse 3
so inamaanisha leo nimehata
simu iko juu mkopo madem wamenikacha
pia lonely nayo, na deni ya Matata
hii siku ya leo hmmm haiwess make
ok kuna mboch wa mtaa wenye keja wako ocha
siufanyiana favour sazingine mimi umchocha, Hallo
(sijalala nawatch Naija movies..)
hii weather Mammi, hmmm haiwess make
ashadai anakam kejani atleast
nilisahau uncle yangu ametoka ocha ameingia 3
mboch anagonga 3:10 na fungua mlango zile za
aya ya ya Haiwess Make
Chorus.